/* That's all, stop editing! Happy blogging. */

Mme wangu ni Mchafu alafu anapenda Punyeto balaa..Muoneni tu


Jawabu: Asante Dada,Kwenye maelezo yako umegusia suala la uchafu, huenda ndio sababu kuu ya yeye kujitenga au kukutenga kama sio wewe kumtenga na kumpa "mchezo" usioridhisha kwa vile huwezi kuvumilia harufu mbaya ya mwili wake.

Image result for msichana  mjamzito
Tatizo la kwanza; yeye kupenda kujipa mkono tena mbele yako ni kitu kizuri na ulipaswa kum-join badala ya kuwa mkali. Kujua kwako mchezo sio sababu tosha ya yeye kutojisaidia mwenyewe......huenda unaujua mchezo lakini humridhishi kwamba unayomfanyia yote hayamfikishi ila kumpa mkono.


Ni vema kuwa uligundua hili miaka mitano iliyopita, huenda aliibua au kurudia tabia yake pale ulipokuwa kwenye wakati mgumu baada yakupoteza mtoto (mimba), unapopoteza "mtoto" kwa kawaida wewe mwanamke unaweza kuathirika kisaikolojia na ukabadilika kabisa bila wewe mwenyewe kujigundua.

Newer Posts Older Posts
© Copyright Watoto Wazuri Blog Published.. Blogger Templates
Back To Top